Benchi la ufundi Yanga sc, nadhani mmeona dharau alizozionesha Benard Morrison kwenye mchezo wa Yanga dhidi ya Dodoma jiji Fc

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kabisa Tena kwa moyo mkunjufu kwa Yanga sc kutwaa ubingwa /kuchukua kombe la Nbcpl kwa Mara ya ishirini na tisa (29).

Hakika pongezi hizi zifike kwa viongozi wa simba, ooh kumradhi viongozi wa Yanga sc , benchi la ufundi pamoja na mashabiki hakika hakika mnastahili sifa.

Twende moja kwa moja kwenye maada Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.

NALIA NGWENA, nilishitushwa kidogo kuona Benard Morrison (Toto tundu) kufanyiwa "sub" lakina hakutaka kutoka na huku aliyetakiwa kubadilishana naye (Clement mzinze) alikua tayari kasimama na alisimama nje kwa dk tano (5).

Mpaka mashabiki walipoanza kumzomea Morrison ndipo akatii wito wa kutoka nje na Clement mzinze akaingia.

Kimtazamo huu ni utovu wa nidhamu, Prof Nabbi hakutaka kumpa hata mkono na Morrison alikwenda benchi hakutaka hata kuwapa mikono wachezaji wenzake.

Sub ya Clement mzinze ilikwenda kuzaa matunda nakupata goli la kusawazisha.

Morrison hastahili kuwa Yanga msimu unaokuja, utoto wa namna hii na ujinga utakuja kuigharimu timu.
 
Hakika pongezi hizi zifike kwa viongozi wa simba, ooh kumradhi viongozi wa Yanga sc , benchi la ufundi pamoja na

Morrison hastahili kuwa Yanga msimu unaokuja, utoto wa namna hii na ujinga utakuja kuigharimu timu.

Kufaa au kutokufaa kwake anajua kocha
 
Nianze kwa kutoa pongezi zangu za dhati kabisa Tena kwa moyo mkunjufu kwa Yanga sc kutwaa ubingwa /kuchukua kombe la Nbcpl kwa Mara ya ishirini na tisa (29).

Hakika pongezi hizi zifike kwa viongozi wa simba, ooh kumradhi viongozi wa Yanga sc , benchi la ufundi pamoja na mashabiki hakika hakika mnastahili sifa.

Twende moja kwa moja kwenye maada Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.

NALIA NGWENA, nilishitushwa kidogo kuona Benard Morrison (Toto tundu) kufanyiwa "sub" lakina hakutaka kutoka na huku aliyetakiwa kubadilishana naye (Clement mzinze) alikua tayari kasimama na alisimama nje kwa dk tano (5).

Mpaka mashabiki walipoanza kumzomea Morrison ndipo akatii wito wa kutoka nje na Clement mzinze akaingia.

Kimtazamo huu ni utovu wa nidhamu, Prof Nabbi hakutaka kumpa hata mkono na Morrison alikwenda benchi hakutaka hata kuwapa mikono wachezaji wenzake.

Sub ya Clement mzinze ilikwenda kuzaa matunda nakupata goli la kusawazisha.

Morrison hastahili kuwa Yanga msimu unaokuja, utoto wa namna hii na ujinga utakuja kuigharimu timu.
Ni kweli wameona na ndio bye bye yanga na uzuri nae anajua,tunampeleka singida bug stars
 
Alafu mzito sana siku hiz, morison zaman alikua mwepes ana kasi ila saiv hamna kitu tuachane nae dirisha hili tuchukue winga wa maana
 
Kwanini mashabiki wamzomee Morrison wakati juzi tu hapo kupitia jitihada zake katoka kufunga goli katika mazingira magumu?
Sasa wewe anafanyiwa sub kwa Nini hataki kutoka mbona Aziz alitoka na mechi iliyopita alishinda uliona ana kataaa kutoka.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mwamba huyu hapa 😂😂😂😂😂
20230514_131314.jpg
 
Back
Top Bottom