Benchi lipi linatisha zaidi.

Ukitaka kupata jibu chukua idadi ya magoli na makombe yao wote alafu linganisha
 
Aisee! Barcelona linapungua kilo kidogo
 
Hiyo Barca haifikii ile ya xavi iniesta na Messi wala hiyo Madrid haina kitu kwa hii ya sasa.. Tutagundua hili baada ya miaka kumi kupita Tena
 
Tupo kipindi cha KING MESSI bwana toto la kiArgentina.nashukuru mno mno mno kumshuhudia huyu mchawi asiekuwa na mpinzani.
 
Nasema ivi.naludia tena Nasema ivi. Barcelona ya Messi xavi iniesta ni hatali mno kuwahi kutokea katika hii dunia. Na haitatokea again.
 
Kusaidia tu, angalia kila bench lina Washindi wa ballon d'or wangapi! kisha changanya na zako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…