Bocco tushamuona, Baleke tumemuona hana jipya tena, kila cku yeye ni kukosa magoli tu, Phiri amechapoteza mwelekeo, shabaha iliyopo sasa hv ni Shaaban Chilunda tu, kijana huyo ana uwezo mkubwa sana wa kubadilisha ubao wa magoli, kama utaendelea na Baleke ambaye inaonekana amefungwa ndumba miguuni utaipoteza timu.
Baleke hana sumu yoyote sasa hvi, weka pembeni twende na Chilunda sasa hv