BENCHIKA Atoweka nchini

Huyo n suala la muda tu... Hana kitu chochote Cha ziada... Timu inashinda kwa uwezo wa Chama Wala sio mbinu zake.... Ni Mara 100 na mgunda kuliko madevu... Kocha anatumia kaul za kibabe kwa wachezaji ili wafanye vizuri badala ya mbinu?.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kocha mkuu wa simba hayupo nchini toka jana baada ya game ya prison inasemekana kaenda kwao
Inasemekana kashindwa kuingia kwenye mfumo wa chama.
Hivi kumbe hata ๐Ÿธ๐Ÿธhuwa wanahangaika hivi wanapotaka kutaga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mnahangaika tu na kupoteza nishati kila saa Simba, mkienda kulipa madeni Simba, mkikosa hela ya kula Simba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Mngejua Simba hula kwa kuwinda mngeenda kusaka hela mtunze majaruba yenu vyura wahed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ