Benchika is right, tunacheza kwenye matope na tactics hazifanyi kazi. TFF ni failure

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
I will make it short,

TFF kuna pesa za kujenga viwanja vya carpet ni watu wanazuia hiyo process. possibility ya 20 carpet fields ipo.

We have to change the whole organisation, incompetent people wasio na mipango run tff.

I know few organisations who can strike a deal for these fields in 5 years. sema watu wamekaa ofisini waiting for deals.

Watu kama wa Simba, vilaza ndio wa TFF, useless.

#Noffence

 
Sababu za kifamilia, family is first huwezi kuipinga sababu hiyo popote.

Kuna mchezaji alikwenda kucheza spain kwa sababu mke wake ndio anapenda kuishi Spain.
 
Tff inaendeshwa kisiasa, tatizo kubwa ni viongozi wa vilabu hasa Simba na yanga, Bodi ya ligi ni ya kwao Ila wanaendeshwaendeshwa tu. Kama wangejali ubora wa ligi, ligi ingechezwa viwanja visivyozidi 5 hii ingefanya wenye viwanja vingine waviboreshe.
 
Quality ya mpira wetu ni kweli ipo chini.

Mpira unachezwa kwenye magazeti na TV tu.
 
Mbona alifungwa 5 kwenye uwanja bora Tz
 
Level ya ushindani zipi anazosema, ameshindwa kumfunga IHEFU, PRISON, MASHUJAA halafu anasema hakuna ushindani. Ligi ya Tanzania imekuwa kimbilio la wachezaji wengi wa Afrika maana yake ni Bora sana. Yeye aseme tu anakimbia li timu libovu na hakieleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…