NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nimeshangazwa na mashabiki wa Simba sc wakiongozwa na Msemaji wao Ahmedy Ally (kisipika) akijinadi kuwa Al ahly atafungwa kwa kuwa Wanakocha mzuri aliyewahi kuchukua Super cup mbele ya Al ahly.
Je mmesahau kuwa Kocha Robertinho aliifunga Yanga Sc akiwa na Vipers sc na timu ya Simba sc ilimuajili kwa kuwa kaifunga Yanga ?! na kilimtokea nini baada ya Kupigwa goli tano ??
NALIA NGWENA natumia jukwaa hili kuwasihi mashabiki wa Simba sc wasidanganywe/ wasidanganyike na kuingia na matokeo mfukoni kwani huu ni mchezo wa mpira wa miguu mchezo ambao unachezwa wazi bila ya kificho.
Kocha anaweza kuwa mzuri lakini tatizo linakuja je timu ilimuwezesha Benchikha wachezaji wazuri (majembe) anaowataka yeye?! Logic yangu ni kuwa Benchikha aliifunga Al ahly akiwa na kikosi kizuri kilichomuwezesha kuchukua Kombe la shirikisho.
Maoni Yangu: hata kocha awe mzuri vipi ni ngumu kuonesha ubora wake Kama kapewa wachezaji magalasa (low quality player) hapa lazima kocha alaumiwe kutokana na kutowezeshwa wachezaji anaowataka yeye.
Ahmedy Ally na kikosi chake Cha hamasa wasitumie kigezo Cha Benchikha kuifunga Al ahly kwenye kombe la super cup ndiyo kiwe kigezo Cha kuifunga akiwa na Simba sc.