Kuna wajinga wanataka timu sijui ziwe na jezi sawa, Ila hata jezi za timu za Taifa huwa zinachangiwa sana uzuri na Bendera za nchi zao. Angalia Uzi mfano wa Argentina, mara zote ni uzi mkari saba kwa sababu ya bendera yao pia, angalia Coratia,
Timu kama Italy au hata Uhonzi hazijawahi kuwa na jezi kari si kwamba hawana pesa ila hata rangi za bendera zao pia ni kikwazo.
Angalia Juventus pia wana kuwaga na jezi kari sana wale jamaa, Chelsee jezi zaks hazinaga mvuto kwa sababu pia ya rangi.