Nimejaribu kuangalia magari kama 100 yakipita hakuna hata moja lililoweka bendera ya ccm kipindi hiki cha uchaguzi kama ilivyokuwa kawaida kwa miaka mingine,kulikoni jamani,hata watu wa ccm hawakupewa hizo bendera jamani.

Ni aibu kuweka wheel-cover yenye ujumbe: Maisha Bora kwa Kila Mtanzania wakati wananchi kwa asilimia zaidi ya 70 ni masikini wasiojua kesho watakula nini?
Breaking News: Jamaa kaahidi barabara za lami Shinyanga.