simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
google southern sudan flagPicha yake
Wakenya wako smart sana kutake advantage, muda si mrefu watajenga uwanja karibu na eneo la mafuta kama ni karibu na mpakani na South Sudan!Wameishaolewa na wakenya hao. hata mafuta yao yatatangazwa kuwa yako kenya, walimu wa shule zote watatoka Kenya. kama tunavyonyonywa sisi kwenye mlima Kilimanjaro na shule za kisanii za English medium
Wakenya wako smart sana kutake advantage, muda si mrefu watajenga uwanja karibu na eneo la mafuta kama ni karibu na mpakani na South Sudan!