Elections 2010 Bendera za CCM kwenye yadi ya makaburi

Elections 2010 Bendera za CCM kwenye yadi ya makaburi

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu.

CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni.

What is the meaning of this?
 
Wanajiandalia nafasi ya kuongoza wafu maana hatima yao ni 31 oktoba.
hawawezi kushindana hata na saikolojia zao
veri veri poooor
 
Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu.

CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni.

What is the meaning of this?

Jamani mbona ni kitu rahisi, hiyo inamaana kuwa wameshazikwa
 
Ndo wanakostaili kuweko uko baada ya 31st Oct.
 
Labda wanakesha huko wakitambika kwa mizimu, na kwa wale 'walinzi' wa mzee Yahya. Wakimaliza wanaacha bendera zao huko.
 
Unaweza kuta wanataka timiza sharti la mganga wao
 
Back
Top Bottom