Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,176
mi nahc walijua mtu kama wewe ukipita utapata ujumbe na si vinginevyo....
Jamani wana JF. Leo majira ya asubuhi nimeona kitu cha ajabu.
CCM wamethubutu kutundika bendera za chama chao kwenye yadi ya makaburi ya wafu pale maeneo ya Buguruni.
What is the meaning of this?