kwahiyo mlingoti na mfuko wa simenti vina bendera ya chama gani?? hawa polisi sasa naona wameamua kuonyesha mapungufu yao...Jana eneo la sokoni kuu Arusha CHADEMA walikuwa na mpango wa kusimika bendera lakini vijana wa CCM waliwazuia jambo lililosababisha vurugu kubwa kabla ya polisi kuingilia kati kwa kurusha mabomu ya machozi.Mlingoti,mfuko mmoja wa cement na bendera vinashikiliwa na polisi kwa ajili ya uchunguzi unaotegemewa kukamilika 01/11/2010.
Jana eneo la sokoni kuu Arusha CHADEMA walikuwa na mpango wa kusimika bendera lakini vijana wa CCM waliwazuia jambo lililosababisha vurugu kubwa kabla ya polisi kuingilia kati kwa kurusha mabomu ya machozi.Mlingoti,mfuko mmoja wa cement na bendera vinashikiliwa na polisi kwa ajili ya uchunguzi unaotegemewa kukamilika 01/11/2010.