Bendera za Tanganyika zinapatikana wapi?

Kwa Upande wa Arusha kuanzia Usa kuelekea Mjini kabisa bendera zipo za kutosha...kwsbb wao walishaanza kujiita Watanganyika kitambo
Kweli mkuu?

Ngoja nifanye mawasiliano na watu wa Arusha, zikipatikana naziagiza.
 
Zinaweza kupatikana wapi?

Nazihitaji walau pisi tatu: ya nyumbani, ya kazini n.k.

Naamini na Watanganyika wengine wanazihitaji!

Tutazipata wapi?
Tumwambie Maria S. hizi Bendera zinahitajija kwa wingi Tanganyika.

Cc. Fatuma a.k.a Shangazi
 
Ngoja huu ni usiku au mchana?
Kumekucha kuna kitu nimekumbuka,

'The Man From Tanganyika'
Hii ndio title ya uzi wangu ujao ni bonge la uzi sasa basi ngoja nimcheki Mwana sheria wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…