Bendi ya Frank na Dada Zake / Frank and His Sisters

Bendi ya Frank na Dada Zake / Frank and His Sisters

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
1647946346871.png

Frank and His Sisters LP​

The world’s first collection of gorgeous pop songs from Frank and His Sisters, a family band from Moshi, Tanzania. Formed in the early 1950s by Frank Humplick, Thecla Clara and Maria Regina, the trio recorded and toured throughout East Africa and issued a string of instant classics, capturing fans with their beautifully harmonized singing, clever lyrics, and Frank’s stunning guitar work. Imagine the fingerstyle finesse of John Fahey with a pure pop melodicism, combined with the family harmony of groups like The Carter Family, The Roches, and The Beach Boys, set in the golden age of Tanzanian music!

Frank composed many of his songs while working the land on his beloved tractor (really), and once instigated a house-to-house search to destroy all copies of his record “Yes/No” due to political lyrics. He went on to record and tour with the Jambo Boys band before retiring from the music industry in the early 1960s, to focus on his passion for agriculture. But his favorite songs were always the ones he created with his sisters, and we are proud to present 12 of their best.

Previously only heard on painfully rare 78 rpm discs and Tanzanian oldies radio, this album collects the trio’s finest songs, lovingly restored and remastered. We love this music so much that in late 2018 we traveled to Tanzania to meet Frank’s family and collaborate on this album.

The result is a colorful 8-page booklet featuring complete lyrics in English, Swahili and Chaga, as well as previously unpublished photographs, extensive interviews and anecdotes, and a biography by Tanzanian musician and radio host John Kitime. All tracks fully licensed from the Humplick family.

Listen to collection of songs Source :

What a change, jukwaa hili la historia lilihitaji kweli a breath of fresh air, tuweze kuondokana na uvundo uliotanda wa ngano za Mohamed Said akiwalilia wazee wake wa Gerezani kila kukicha. Asante sana bagamoyo.

Bonyeza hapa...

Mzee Frank Humplick Mtanzania, ndiye mtunzi wa nyimbo kama Kolokolola, Simba wa Bara, Tufurahi kwani leo harusi, (wimbo uliorekodiwa baadae na Afro70 na pia Mombasa Roots) na nyimbo nyingi sana ambazo bado zinapigwa na bendi nyingi hapa Afrika ya Mashariki.

Mzee Humplick wakati wa mkoloni aliwahi kutunga wimbo uliyokuja kupigwa marufuku na santuri za wimbo huu kusakwa nyumba hadi nyumba ili kusibakie hata nakala ya wimbo huo? Maneno ya wimbo huo yalisema hivi:

Uganda nayo iende
Tanganyika ikichangaruka, Kenya na Nyasa zitaumana
Nasikia fununu wanavyoichanachana China, Kitisho!
I am a democrat, I don't want communism, English, Yes, No I don't know, Kizungu sikijui

Wanyika msishindane na Watanganyika

1648805104788.png

1927 - 2007

Wimbo huo ukaanza kutumika kabla ya mikutano ya Mwalimu Nyerere na kuanza kuwa maarufu kama wimbo wa kudai uhuru, wakoloni haraka sana wakaona wimbo huu utaweza kusababisha vurugu kama ambazo zilikuwa zinaendelea Kenya chini ya Maumau.

Serikali ikaupiga marufuku na kuanza kuusaka nyumba hadi nyumba!

Kati ya mwanamuziki Mtanzania ambae historia haijamtendewa haki kutokana na kutothaminiwa kwa kazi zake ni marehemu Mzee Frank Humplick. Mzee Humplick ameishi kwa miaka mingi ya mwisho wa maisha yake Lushoto.

Mzee huyu akiwa na dada zake wawili walitikisa anga za muziki wa Afrika ya Mashariki, na bado wanaendelea kufanya hivyo japo hawatambuliwi kabisa.

Kundi lao lililoitwa Frank na dada zake waliuletea ulimwengu nyimbo nyingi ambazo mbaya zaidi mara nyingi nyimbo hizo zimekuwa zikitambulishwa kama nyimbo za mwanamuziki mwingine kutoka Kenya marehemu Fundi Konde.
 
Mag...
Frank Humplink alikuwa baba na rafiki yangu.
Alipofariki nilimwandikia taazia iliyochapwa katika The East African.

Picha nyingi unazoziona katika mitandao mimi ndiye ''source.''

Hii taazia ni ndefu sana siwezi kuiweka yote hapa lakini kama ulivyosema unahitaji kupumzika na ''shari'' yangu.

Bahati mbaya sikupi nafasi ya kupumzika utanisoma:

''Frank Humplick did not compose bubble gum music which seems to be the norm of the present generation of musicians, music that lasts as long as the taste of the chewing gum.

Frank Humplicks compositions are all time classics defying time possessing the ability to store its melody and lyrics in ones memory to eternity.''

''Growing up in Moshi and attending Majengo Middle School in early 1960s as a young boy I used to see young Frank Humplick riding his motor bike with a guitar strapped on the back seat.

Our school gate overlooked his mothers house across the road.

The house still stands today.

Whenever we saw Frank in town riding his motor bike me and my friends used to shout his name.

He was a popular figure with us boys as well as girls not because he was the pop star of the day but also because he had certain songs which appealed to us as kids.

There was a song Kwenye Kabati Kuna Nyoka (There is a Snake in the Cupboard) which was very popular with us because it was satiric depicting Frank as a school teacher teaching English to students who found it difficult to grasp the real meaning of English vocabulary.''

''It was by mere chance that my interest on Frank Humplick was kindled.

In mid 1990s Ally Sykes entrepreneur, veteran politician, founder member of TANU and one Nyereres right hand men during the struggle for Tanganyikas independence was writing his memoirs and I was assisting him.

We had a series of sessions and when we reached how he met Peter Colmore in Nairobi after being discharged from the Kings African Rifles (KAR) at the end of World War Two in 1945 Ally Sykes told me that in his views he thought the most appropriate person to for me to talk to about that period was his friend and business partner of many years Peter Colmore.

There and then Ally Sykes called Colmore in Nairobi and it was arranged that I travel to Nairobi to talk to him.

I interviewed Colmore at his Muthaiga residence and had the chance to see his photo archive comprising of photos of musicians he had promoted.

Frank Humplick's photograph was among those many photos I saw.

Colmore told me that he was the one who introduced Frank Humplink's music to the East African audience in 1952.''

1648812853393.png
 
View attachment 2171629
Wewe ni kama maji anayekutaa atarudi mwenyewe
 
Wewe ni kama maji anayekutaa atarudi mwenyewe
Ha ha haa...hivi nawe ni moja katika mapoyoyo yanayomeza ngano za huyu limbukeni. Kisichonishangaza sana ni ukweli kuwa debe tupu haliachi kutiku. Tatizo lilianzia kwa vijana wa kizulu walioletwa na Wajerumani kulowea Tanganyika na kuwatwaa mabinti wa kimanyema...
 
Mag3,
Limbukeni niwe mie?
Nilimbuke kwa lipi ndugu yangu?

Umeshukuru kuwa Bagamoyo kamweka Frank Humplink.

Nimekuwekea historia yangu na Frank Humplink pamoja na picha tukiwa pamoja nyumbani kwake Lushoto.

Lakini historia yenyewe inaanzia nyumbani kwa Peter Colmore Muthaiga, Nairobi.
Labda nikueleze kitu kingine.

Siku ile Bwana Colmore alinipa historia pia ya Mwenda Jean Bosco na nduguye Eduardo Masengo na watu wengine wengi.

Kubwa lililonifurahisha ni pale aliponionyesha maktaba yake ya picha tena ni catalogued.
Hapo ndipo na mimi nilipojifunza kuwa na maktaba ya picha na kuitengenezea catalogue.

Hii ilikuwa 1995.
Limbukeni niwe mimi?

Alipofariki Peter Colmore nikasoma taazia zilizochapwa na magazeti ya Nairobi pamoja na Nation.

Nikashangaa.
Hawamjui vizuri Peter Colmore.

Nikanyanyua mkwaju wangu.
Taazia niliyoandika ikachapwa na The East African.

Mhariri hakustahamili.
Akaniuliza iweje nimemfahamu Peter Colmore kwa kiasi kile?

Nilimjibu kuwa Peter Colmore alikuwa baba na rafiki yangu.
Colmore alikuwa na Rolls Royce na private jet alikuwa rafiki wa Kabaka Edward Mutesa.

Anasema Kiswahili utadhani kazaliwa Kariakoo na pia akizungumza Kikikuyu.
Member wa Muthaiga Club yeye na Ally Sykes wote - an exclusive club of millionaires.

Allah kanijaalia kuiona dunia na kufahamiana na watu wengi tena katika umri mdogo sana.

Nimemjua Peter Colmore Dar es Salaam 1964 nikiwa na miaka 12 nyumba yetu ilikuwa jirani ya ofisi yake na Ally Sykes ambayo pia ilikuwa makazi yake.

Basi kweli vipi mimi niwe limbukeni?
Haya ndiyo yaliyomshangaza James Odindo Managing Editor wa East African.

Lakini Odindo alishangaa zaidi alipojua kuwa tumesoma chuo kimoja mwaka mmoja Uingereza yeye akiwa School of Journalism.

Mimi kweli nitakuwaje Limbukeni?
Aliniuliza mwenye kuuliza, "Mohamed wewe unaingia Muthaiga Club unaingiaje?"

Alikuwa kapigwa na mshangao mkubwa.
Huyu bwana alikuwa CEO mkubwa Nairobi.

Anaiona Muthaiga Club kwa nje.
Jibu langu lilikuwa, "Baba yangu ni member."

Peter Colmore huyo na Eduardo Masengo:

1649149050356.png

1649148929156.png
 
What a change, jukwaa hili la historia lilihitaji kweli a breath of fresh air, tuweze kuondokana na uvundo uliotanda wa ngano za @Mohamed Said akiwalilia wazee wake wa Gerezani kila kukicha. Asante sana @bagamoyo.
Wivu wa nini kijana kuhus Mohammed Said, si utunge stori zako na wewe? Utapata pressure bure!!!
 
Wivu wa nini kijana kuhus Mohammed Said, si utunge stori zako na wewe? Utapata pressure bure!!!
Biti...
Nilipokuwa mdogo mama yangu alikuwa akiniambia, ''Mwanangu Mohamed wewe Mungu kakupa sudi.''

Hizi lugha siku hizi hazisikiki.
''Sudi,'' maana yake kupendwa na watu.

Mama alikuwa anasema maneno haya kwa kuwa watoto wenzangu wa mtaani wote watanifuata nyumbani kuja kucheza na mimi.

Mama yangu alikuwa akiniambia kuwa nina ''maji ya nguo.''
Maana ya ''maji ya nguo,'' ni kuwa nikivaa nguo napendeza.

Mama akinionya sana kuhusu husda.

Mama akinambia, ''Unaweza kuwa na mgomba wako umeupanda uani umestawi vizuri kabisa; mtu mwenye jicho la husda akiutazama mgomba wako utanywea na utakufa.''

Alhamdulilah ipo dua ya kujikinga na hasad.

Mama yangu alikuwa akisema na akiimba nyimbo ya Siti bint Saad iliyokuwa na maneno haya:

''...wastara haumbuki wa mbili havai moja.''

Maana yake ni kuwa ikiwa tuko hivi kwa ajili Allah katuandikia hakuna wa kutupokonya chochote.

Historia yetu ilifutwa.

Tumeirejesha sisi wenyewe kwa mikono yetu.

Mwalimu yuko Marekani anasomesha African History topic, ''Nationalism in Tanganyika.''

Mwalimu anatoa rejea kwa wanafuzi wake anawaambia wamsome Daisy Sykes na Mohamed Said.

Hapa tuko katika mjadala wa kawaida sana niuonavyo.
Jamaa wameufanya mjadala wa matusi na kujengeana uadui.

Aisha ''Daisy'' Sykes.

Hakuna mtoto wa rika lake katika Dar es Salaam hii aliyejuana na Julius Nyerere kwa kiasi alichojuana na Daisy akiwa msichana mdogo wa shule ya msingi.

Kumbukumbu za Daisy kwa yale aliyoyaona nyumbani kwao utapenda kusoma.

Mwalimu wake wa historia University of East Africa John Iliffe alimpa ''assignment,'' aandike historia ya babu yake Kleist Sykes (1894 - 1949).

Hii paper ndiyo iliyobeba historia yote ya kuasisiwa kwa African Association mwaka wa 1929 pamoja na majina ya waasisi na kueleza kuwa fikra hii babu yake alipewa na Dr. Kwegyr Aggrey kutoka Achimota College, Ghana mwaka wa 1924.

Paper hii aliyoandika Daisy ni sura katika kitabu alichohariri John Iliffe, ''Modern Tanzanians,'' (1973).

Haya nimeeleza mara nyingi hapa si mageni ila kwa mgeni hapa barzani.

Leo anatokea mtu kaficha uso wake anatutukana matusi makubwa sisi si kwa lolote ila kwa kuwa tumeandika historia ya wazazi wetu kuwa waliasisi AA na TANU na wamepigania uhuru wa Tanganyika pamoja na Julius Nyerere.

Kama huu ni uongo sema usitoe matusi.

Huyo hapo chini Mama Daisy, Bi. Titi Mohamed na Bi. Zainab Tewa katika harakati za TANU.

Picha nyingine Abdul Sykes huyo kasimama pembeni ya Nyerere na nyingine Ally Sykes na Julius Nyerere.

1649150991087.png
1649152108503.png
1649151780321.png
 
Back
Top Bottom