Wangesubiri walau msimu mmoja, unajua ligi ya italia si rahisi kivile, kwa hiyo msimu mmoja walao unatosha kuangalia mazingira
Wakuu wale jamaa wamemtimua kocha wao licha ya kuwapa ubingwa wa dunia. Wanataka mtu wa mafanikio kama Jose Morinho, Mbona hawa jamaa hawana subira.
I hate them
Wangesubiri walau msimu mmoja, unajua ligi ya italia si rahisi kivile, kwa hiyo msimu mmoja walao unatosha kuangalia mazingira
hali yetu ipi mkuu? we ngoja tuanze mambo, tushapumzika sana tuBenitez was a spent force; hiyo tabia yake ya ku-rotate wachezaji ina-cost timu mechi muhimu, angalia Inter kwenye ligi yao, wamepoteza hadi mechi za kitoto? hata Liva pamoja na hali yao akienda leo watamkataa!
Benitez was a spent force; hiyo tabia yake ya ku-rotate wachezaji ina-cost timu mechi muhimu, angalia Inter kwenye ligi yao, wamepoteza hadi mechi za kitoto? hata Liva pamoja na hali yao akienda leo watamkataa!
hali yetu ipi mkuu? we ngoja tuanze mambo, tushapumzika sana tu
I can argue kwamba statistically and achievement-wise Benitez is very successfully.....
Valencia ..... League and UEFA CUP Double 03/04
Liverpool ....... Champion League Winners
Very few managers have got such credentials..
Lakini sadly in this Game Huwezi kuishi by the past Achievements.......
One area where Benitez is found wanting ni kwenye kusajili wachezaji alivyokuwa Spain alizoea kazi ya Manager is just Coaching and not buying players.
Maybe Valencia lakini the rest ... amekua ana malizia kazi nzuri za wengine kama Houlier na Mourinho. Kosa walilofanya Liverpool ni kumvumilia wakavuna mabua it will take time
Houlier alibeba na uefa cup pia,inaitwa europa league siku hiziHoulier alishinda kombe moja tu nadhani la FA Cup against Arsenal ambapo Michael Owen Alifunga ile siku..... kwa bahati...... Arsenal played Liverpool off the Park... Houlier hayupo kwenye the best Managers who achieved with Liverpool .....
Benitez naweza nikamuweka kwenye the likes of Kenny Dalglish... I think Houlier is the most Overrated Manager (Very Few Managers Can Boast Winning The Champions League). Kama nilivyosema kosa kubwa ambalo Benitez analo ni kwamba hajui kusajili.
Champions league winner????? ni nani alikuwa meneja wa mwisho kuwaletea hili kombe???; Whats needed in liverpool is overhaul ya timu yote. Probably the likes of Gerald being Scources (watoto wa liverpool) they are too big for their shoes; wanataka kum-dictate manageratangulie tu, kokote....alituharibia sana Liverpool. Hana maana hata kidogo. Ninahisi ana elements za ubaguzi wa rangi.
Champions league winner????? ni nani alikuwa meneja wa mwisho kuwaletea hili kombe???; Whats needed in liverpool is overhaul ya timu yote. Probably the likes of Gerald being Scources (watoto wa liverpool) they are too big for their shoes; wanataka kum-dictate manager
Champion league winner yes, then next season hata nne bora hatukuwemo. Ikabidi UEFA wafikirie kupindisha kanuni ili tutetee. Ndio maana Inter wamemshtukia pamoja na kubeba klabu bingwa ya dunia.
hali yetu ipi mkuu? we ngoja tuanze mambo, tushapumzika sana tu
Latest results:
Liverpool 0 - 1 Wolverhampton