wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,353
Vyanzo vyangu vya habari vimeshikilia kwa nguvu kubwa kuwa Carlo ancelotti ataiongoza Real Madrid kwenye mechi ya mwisho msimu huu wa ligi kuu ambayo ni ya mwisho pia msimu kwa Real Madrid na baada ya hapo haraka sana Kocha Rafael Benitez atatangazwa kuwa ndie kocha mpya wa timu hiyo kuanzia jumatatu.