Benitez uyoo madrid

wembeee

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
2,708
Reaction score
1,353
Vyanzo vyangu vya habari vimeshikilia kwa nguvu kubwa kuwa Carlo ancelotti ataiongoza Real Madrid kwenye mechi ya mwisho msimu huu wa ligi kuu ambayo ni ya mwisho pia msimu kwa Real Madrid na baada ya hapo haraka sana Kocha Rafael Benitez atatangazwa kuwa ndie kocha mpya wa timu hiyo kuanzia jumatatu.
 


hii inamaanisha Big Carlo anarudi nyumbani ambako amewahi kucheza soka na kubeba champions league na pia amewahi kufundisha na kubeba champions league...

welcome back Super Carlo a.k.a mr european nightmare.
rudi katika nyumba yenye makabati meeeeeengi yalojaa makombe ya Kimataifa.

forza Milan
 

Big offer from AC Milan to Ancelotti, 5
million as a salary/year and 150 Million
euros for the signings. [Marca]
 
Naona Madrid wanatupa siraha,wanategemea mbio...Carlo is best coach.
 

Na Benitez anarudi nyumbani timu aliyochezea na kutwaa vikombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…