T TheDealer JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 2,424 Reaction score 1,130 Dec 23, 2015 #1 Jisomee hapa mwenyewe --------------------- BREAKING: Ben?tez set to be fired - reports - Managing Madrid ---------------------
Jisomee hapa mwenyewe --------------------- BREAKING: Ben?tez set to be fired - reports - Managing Madrid ---------------------
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,106 Reaction score 14,353 Dec 23, 2015 #2 madrid hawana huruma yani 10:2 haziwatoshi had kumfukuza benitez
jd41 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,756 Reaction score 4,847 Dec 23, 2015 #3 ...10-2 baada ya wapinzani kubaki 9,hebu uliza wakati wako 11 vs 11 hali yao ilikuaje?!
jd41 JF-Expert Member Joined Aug 23, 2015 Posts 3,756 Reaction score 4,847 Dec 23, 2015 #4 ...najua wanataka kumleta mou,hali yao itaendelea kuwa mbaya tu, then nikikumbuka kipindi kile mou anaondoka madrid maneno aliyosema... nawasikitikia madrid wako desperate sana... kosa kubwa ilikua kumfukuza ancellotti.
...najua wanataka kumleta mou,hali yao itaendelea kuwa mbaya tu, then nikikumbuka kipindi kile mou anaondoka madrid maneno aliyosema... nawasikitikia madrid wako desperate sana... kosa kubwa ilikua kumfukuza ancellotti.
DIUNATION JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 2,591 Reaction score 1,719 Dec 23, 2015 #5 Sidhani kama morinho ni chaguo sahihi la madrid kwa sasa.
PNC JF-Expert Member Joined Feb 3, 2015 Posts 8,106 Reaction score 14,353 Dec 23, 2015 #6 jd41 said: ...10-2 baada ya wapinzani kubaki 9,hebu uliza wakati wako 11 vs 11 hali yao ilikuaje?! Click to expand... ha ha ha ha walikuwa washakabwa koo ikabd huruma za refa ziwasaidie
jd41 said: ...10-2 baada ya wapinzani kubaki 9,hebu uliza wakati wako 11 vs 11 hali yao ilikuaje?! Click to expand... ha ha ha ha walikuwa washakabwa koo ikabd huruma za refa ziwasaidie