Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Captain wa Tanzania Prisons, Afande Benjamin Asukile ameweka wazi wao kama Prison hawana uoga wowote dhidi ya Simba katika mchezo utakaopigwa leo saa 10:00 katika dimba la Sokoine jijini Mbeya.
"Simba ni timu nzuri, wametoka kushinda juzi huko Malawi, ila wajue kuwa ile ni ligi ya mabingwa na huku mbeya wamekuja kucheza mechi ya ligi kuu, hivyo tunawaambia waje kwa tahadhari kwani kipigo ni lazima kwao na wajiandae na Pira Gwaride" aliongeza Asukile.
Je, kauli ya Asukile itakuwa na mashiko? Tusubirie muda ufike tuone