Benjamin Fernandes Ni nani?

Shida kubwa tuliyonayo Watanzania, ni kudharau Vya kwetu. Huyu dogo ni kichwa, nadhani angekuwa RAIA WA nchi za magharibi, BASI umaarufu wake ungekuwa mkubwa zaidi. Tupeane credits pale panapo stahili, sio kuoneana wivu na kurudishana nyuma katika maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafikiri tuache kuwarushia mawe vijana hao, isiwe kama wale wanaowakandia wanazmosoma vitabu kwenye mabasi (wanayofanya wasomi), hayo ni mawazo madogo. Badala yake tutambue uzalendo wao kutaka kufanya kazi basi hapa Tanzania. Vinginevyo tunawakatisha tamaa. Ukweli ni kwamba watu wazuri siyo wengi kama mnavyofikiria. Ni wachache, na hao wachache ni lazima tuwavute na kuwaweka sehemu za kazi ambapo watakuwa msaada kwa Taifa. Saivi kila mtu, wakiweno wanasiasa wakubwa wanamsifu Ruge (RIP). Najiuliza kama Marehemu alikuwa mzuri hivyo kwa nini hatukumpa kazi itakayotoa mchango mkubwa zaidi kwa Taifa letu? Je, inawezekana ni kwa sababu hatuna utaratibu mzuri wa kutafuta "vichwa" na kuwaweka katika sehemu zenye changamoto kwa maendeleo ya nchi yetu?
Lea ombwe lililopo kwenye taasisi zetu, tunategemea kuwepo na mpango masudi na endelevu wa kuwatafuta hao "vichwa" watusaidie kwenda kuziba hiyo mianya ya uwezo. Wanaingizwa humo, na lea kuwa ni vichwa wanajifunza kazi na kuelewa haraka kiasi kwamba anapandishwa haraka kufikia ukurugenzi akiwa na miaka 25!!
Salim Ahmed Salim alikuwa balozi wetu Misri akiwa na miaka 22!! Wako akina Salim wengine, kinachokosekana na mkakati wa kuwaona na kuwapa kazi!
 
Kwa mindset yako mil. 35 kwa mwezi sio ya kitoto, but all I can tell you USD 189,000 annually isn't such a big deal. I know people who are earning USD 500K, and it's quite a common feat. I understand why alikataa huo mshahara. He has a mindset that most of you gossipers here do not have. I suggest you read the book called the Magic of Thinking Big by David Schwartz, understand it very well, contrast with how most of us live, then start practicing the suggestions given by the author. I promise you wouldn't be thinking the way you do in 3 months time. Thank me later 😁
Angeleta chai nyingine sio ile ambayo haina hata sukari....35m per month sio pesa ya kitoto.
 
With your sort of mindset, hutakataa huo mshahara, ila wapo wanaoukataa. People have got dreams and ambitions. You don't have their mindset, so you clearly won't understand. You live in a different reality. Usifikiri kila mtu anafikiri kama ufikirivyo wewe. Learn that, and you'll start seeing things in a different perspective.
You
 
Wewe kweli ni mbongo. You speak like a typical African. Na yale mambo yetu ya "tutaona ataishia wapi" na "ngoja tuone". Personally, sijui ana malengo gani ndani yake huyu Benji, ila there are different ways to look at what he was trying to do. Kweli, yawezekana anataka kujikweza, he's branding himself, au anajaribu kuinfluence our ways of thinking kama wabongo. Kweli wachawi ni sisi wenyewe wabongo. Our first instinct ni kukatishana tamaa. Oh my beautiful Tanzania, a great country indeed full of good for nothing people. Itachukua muda sana kuamsha watu nchi hii, hebu wengine tuanze kwa kuamsha wale walio tayari kuamka.
 
Kujimwambafai ni kawaida kwa wasomi wa Havard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…