Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Hiyo black mentality ndio mnapoharibu, kwa hiyo asishitakiwa kwa vile ni black yuko nchi ya wazungu??Hili jambo litamuharibia sana jamaa career yake. Cancel culture ya wazungu ni mbaya sana, hasa ukizingatia ni black.
28 kwa 29 hivi hawa wanabakwa au wanakua ktk makubaliano, labda pale malipo yanapokua tofauti, ndo wanasingizia kubakwaa.
Mxxxiiiieeeeewww