sarcomere1
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 304
- 579
Kwa umeme gani na kiingilio cha buku 3? Yanatumia umeme yale, Kwa hiyo tunapunguza matumizi.Ni takriban miezi miwili tangu kuzinduliwa wa michuano ya African Football League (AFL) ambapo mabango ya matangazo ya umeme yalianza kufanya kazi kwa mara ya kwanza
Lakini katika hali ya kustaajabisha baada ya mechi chache tu kuchezwa uwanjani hapo, mabango hayo hayafanyi kazi tena na badala yake zimebandikwa stickers
Hivi kitu gani hakipo sawa kwetu sisi watanzania?
Bado yapo uwanjani, ila hayafanyi kaziHii ndio bongo..
Usikute yale walikodi tu, wakaandika yamenunhliwa, keshokutwa watakwambia yameungua, imeisha hiyo.
[emoji23][emoji1787]
Gharama yake inakujaje kwenye kuyamaintain? Umeme? Au ni vipi yaniKuya maintain yake mabanko ukaendelea kuyaona vile sio kazi rahisi, yanahitaji pesa sasa kwa nchi inayonuka ufisadi kama hii si jambo la kushangaza kuona hayapo Tena.
Zimekunywa maji zimekufa, inamaana haikujulikana kama zinafikiwa na maji kipindi cha mvua? Vipi Yale ya Azam complex mbona yanafikiwa na maji lakin yanaendelea kufanya kaz?Ile kazi ningepewa mm ya kufunga zile tv panel hapo Huenda zimekunywa maji zimekufaa na ni gharama [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii ndio bongo..
Usikute yale walikodi tu, wakaandika yamenunhliwa, keshokutwa watakwambia yameungua, imeisha hiyo.
[emoji23][emoji1787]