Benjamin Mzinga hawezi kipindi cha Dk 45

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Leo jumatatu saa tatu usiku nimetulia naangalia kipindi kiitwacho Dk 45 kinachorushwa na ITV.
Yani maswali anayouliza kama mtoto wa chekechea, Imagine yeye ndiye anayeuliza swali but anajing'atang'ata as if yeye ndio anabanwa na maswali magumu kwenye hard talk.
 
Sijawahi mkubali uyu dingilii,alaf Mwalimu wangu ashawahi sema anamuigaga Comrade flan hivi wa habari apa Bongo style ya Kutangaza.
 

Ni Mtangazaji mzuri na hasa akiwa bado ni Kijana na anakuja vizuri ila nadhani kwa Uzito wa hicho Kipindi hapashwi kupewa hilo Jukumu kwa sasa na badala yake angetafutwa Mtangazaji mwingine na huyu Benjamin Mzinga awe anazidi Kujifunza. Ni Kijana ambaye anakuja vyema sana japo ana Mapungufu machache mojawapo likiwa ni la Kulazimisha awe anatangaza kama Salim Kikeke wa BBC Swahili / Dira ya Dunia kwa Kumuiga Kupitiliza wakati na Yeye pia alipaswa sasa Kutengeneza Identity yake Kiutangazaji.
 
Ni kweli kabisa atapotea
 
Kile kipindi kina wenyewe..wangemuacha aendelee ripoti za mtaani
 
Kwa mtazamo wako nani anaweza mudu hiyo nafasi? Ingawa itakua maoni yako tu si ya wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…