Benjamin William Mkapa HIV foundation

Tekenya

Member
Joined
May 24, 2011
Posts
67
Reaction score
9
Wanajamvi kuna nafas za lab technologist zilitangazwa mwezi ulopita, naomba mtu mwenye updates azitoe ili jujue wanaendeleaje na mchakato. Je washatoa outline ya interview? kwa mwenye information please atupe.
 
Watu wengine huwa mnashindwa kutumia akili za kawaida..Nenda kwenye intanet tafuta namba yao wapigie simu usijetafuta majibu hapa tuna-discuss vitu vya msingi.
 
haya sishangai maana jina lako linatosha kunipa picha ya jinsi ulivyo. unadhani ni jambo gani la msingi unaloweza kujadili wewe? nenda kwenye facebook na udaku, hapa tunahitaji busara katika kujibu au kama huna jibu kaa kimya. au nyinyi ndo watoto wa vigogo ambao hamjapata msoto kutafta kazi? mnaotumia vimemo?
Tuache watoto wa walalahoi tuelekezane taratibu. shame upon you!!.
 
uvivu tu je umeshatembelea website yao na kujua chochote au umepitiliza moja kwa moja jf
 
Hivi humu JF ni maruku kutumia majina halisi? Maana kila mtu anatumia jina la uongo, mnaficha nini?
 
Watu wengine huwa mnashindwa kutumia akili za kawaida..Nenda kwenye intanet tafuta namba yao wapigie simu usijetafuta majibu hapa tuna-discuss vitu vya msingi.

Kweli, hili jibu lako linaonesha kuwa unajadili vitu vya 'msingi' yaani kusema hovyo'

Mkuu, msaka kazi, mashirika mengi wiki hii ndo yameanza kazi baada ya mapumziko wa msimu wa sikukuu za wakristo na ile ya wengi 2012, so vuta subira kidogo unaweza kusikia toka kwao mapema na kama hutosikia, jaribu kujongea ofisini kwao, jengo la Mkapa pension- posta
 
Hivi humu JF ni maruku kutumia majina halisi? Maana kila mtu anatumia jina la uongo, mnaficha nini?

Utafiti wako unaonesha hivyo eeh!? bahati mbaya sana sikubahatika kuwamo kwenye sample yako
 
[B said:
Tekenya[/B];3108123]haya sishangai maana jina lako linatosha kunipa picha ya jinsi ulivyo

Tekenya anamwambia Msemaovyo
 
We Tekenya sijui unatekenywa na nani unajua mwenyewe tumia akili kidogo tu na usiwe mvivu ungeweza kwenda mwenyewe Mkapa tower au ukapiga simu iliyopo kwenye Website yao.Kwa akili hizi finyu ulizonazo hizo kazi utazisikia tu kwenye bomba.Inaonekana wewe ni miongoni wa wale Ben Mkapa aliowaita wavivu wa kufikiri na ukuzingatia hiyo foundation ni yake we sahau kabisa uende kufuga kuku kama mlivyoshauriwa.
 
mbona siwaoni malaria sugu,ff,rejao na ritz huku?
au hela za mafisadi zimewapofusha mpaka wanashindwa kujua kuwa kuna na majukwaa mengine?
 
mambo tamu sana huku TEKENYA ACHA VIVU VV BADO JANA NDOGO CHANGAMUKA, MM PELEKA VV BOMBAY WATU TAOMBA MASABURI YAKO VV
 
kwa hiyo wewe choka fanyiwa hivyo bombay? au iko kuja dogo Tz kupooza hiyo saburi? pole sana kanjbai. sasa iko pumzika vya kutosha rud ukaendeleze kamchezo kako, huku hapana mtu taka hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…