Benk ya dunia IMF wanasaidia nchi za ulimwengu wa tatu?

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Posts
25,225
Reaction score
25,488
Hapa chini ni sehemu ya maelezo ya kingereza juu ya namna Benki ya Dunia(WB) na IMF zinavyofanya kazi...!

Ninatarajia wachumi wa Jukwaa hili watafafanulie kama kweli WB na IMF wapokweli kuboresha maisha ya wananchi wa ulimwengu wa Tatu kwa mikopo yao hiyo. Vilevile kama sasa Taifa linatakiwa kuanza kukopa kutoka kwenye Benk ya maendeleo ya Brics ( BRICS Development Bank.) na tuachane na mikopo ya WB na IMF.

Karibuni
This process was described most famously by former insider and self-described "economic hitman" John Perkins, who wrote his "Confessions of an Economic Hitman" to shed light on the means by which the seemingly benevolent IMF/World Bank system is used to oppress and plunder the very populations it is designed to enrich.

According to Perkins:
"So how does the system work? We economic hitmen have many vehicles to make this happen, but perhaps the most common one is that we will identify a country-usually a developing country-that has resources our corporations covet, like oil, and then we arrange a huge loan to that country from the World Bank or one of its sister organizations.
"Now most everybody in our country believes that loan is going to help poor people. It isn't. Most of the money never goes to the country. In fact it goes to our own corporations. It goes to the Bechtels and the Halliburtons and the ones we all hear about, usually led by engineering firms, but a lot of other companies are brought in and they make fortunes off building the infrastructure projects in that country. Power plants, industrial parks, ports, those types of things. Things that don't benefit the poor people at all; they're not connected to the electrical grid, they don't get the jobs in the industrial parks because they're not educated enough. But they as a class are left holding a huge debt. The country goes deep into debt in order to make this happen, and a few of its wealthy people get very rich in the process. They own the big industries that do benefit from the ports and the highways and the industrial parks and the electricity.

"The country is left holding this huge debt that it can't possibly repay, so at some point we economic hitmen go back in and we say, ‘You know, you can't pay your debts. You owe us a pound of flesh, you owe us a big favor. So sell your oil real cheap to our oil companies, or vote with us on the next critical United Nations vote, or send troops in support of our to some place in the world like Iraq.' And so we use this whole process as, first of all, a means for getting their money (money we loan them) to enrich our own corporations, and then to use the debt to enslave them.
What The World Bank Actually Does | Global Research

 
kwanza nianze kwa kuonyesha masikitiko yangu kwa wadau na wachangiaji wengi maana mambo kama haya ya msingi hawajadili lakini ni haohao wanaopiga kelele kila uchwao kuhusu ubovu wa serikali,ugumuwa maisha na matatizo kadhaa wa kadhaa.

haya yaliyoelezwa ni ya kweli na mimi ninayajua.

hata hiyo benki ya BRICKS ambayo siikumbuki jina lake, ina lengo la kupambana na IMF na WORLD BANK kwa manufaa yao lakini si kwa manufaa ya nchi masikini.

kwa nyogeza.

hata hela za NGOs za kijamii nazo zinatumia mfumo huuhuu wa kipumbavu.

yaani mathalani kama wakitoa hela za ukimwi ama malaria . watu na taasisi za kwanza kunufaika ni zile za huko maerkani amapesa ilikotoka. taasisi zao zenye watu wao ndizo zitapewa mamilioni ya pesa kutekeleza miradi ya kijamii afrika ambayo kimsingi ni miradi ya kijinga.

mfano wanatoa mamilioni ya dola kukabili malaria,ukimwi,mazingira,kuhamasisha wanawake, nk nk

lakini hawawezi kudhubutu kutoa hata shilingi kwa ajili ya utafiti ama uwekezaji wa viwanda vya uhandisi na mambo mengine ya muhimu.

HAKUNA CHA BRICKS,IMF AMA WORLD BANK . hawa wote wana lengo lilelile. AFRIKA KUSINI ANATUMIWA TU NA NDIO TAIFA PEKEE KATIKA HAYO MATANO HALINA TEKNOLOJIA YOYOTE. na hata hela alizochanga kwenye hiyo DEVELOPMENT BANK kama nakumbuka sawasawa ni kidogo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…