Benki Azania kutoa huduma kuzingatia kanuni za Kiislam


Mimi nitaangaika na huo Ujinga wenu.

"Patheticaco Muhhamadan!"-courtesy of MaxShimba.
 
Haya mie mtazamaji ila naona mwisho sio mzuri .
ADMIN lazima ataichomoa hii Topic kama si leo basi kesho.

Kiufupi ni uelewa tu wa jinsi Islamic Banki zinavyoendeshwa,hili ndio tatizo.Taaluma ya Banking na tafsiri ya Riba ni tatizo kwa wote waliochangia hapo juu.
Mie ilinipa tabu sana kuelewa pia,ila nilikwenda pale KCB ndio wakanifahamisha kwa undani zaidi,very simple na inaeleweka.Ila kwa nadharia huwezi kuelewa hata upige kelele mpaka kesho hapa.Kwa ufupi ifahamike kwamba Bank hazitegemei Riba kwa kujiendesha,hilo lieleweke na ukienda pale utajua kwamba wananjia nyingi za kujiendesha.

Na huyo aliesema kwamba Ufaransa wamezuia manguo yenu,yule nae yumo kwenye zero family,maana hata masisters(watawa)nao wanavaa kwakuwa wanajua mwanamke anatakiwa awe vipi, ila waumini wanatinga na vimini kwenye ibada wakitoka hapo moja kwa moja kulewa bar .Wanajua Jumapili ijayo wanarudi tena kumwambia Askofu awaombee dhambi zao zifutwe,we umeona wapi Binaadam anafuta dhambi za binaadam mwenzie wakati yeye mwenye anazo zake tele.Utawaona kesho.

Ni Mtizamo tu,ila Nendeni Bank mkaulize na malumbano yote yataisha kwa amani.
Ukristo na uislam zote dini hizi zinapinga Riba na yoyote anaepokea au kuhusika katika riba hukumu ipo wazi kwenye Biblia na Qu`ran,.
Haya mambo ya kuwa mnasomewa tu Biblia kila jumapili tu ndio tatizo lake hili,maana hata kitabu hamjui kinasema vipi.
 
kaka navyojua bank inawekeza katika miradi mikubwa ndio faida inapatikana,ila kuondoa ubishi google how islamic banking operate utapata details, kwa watu wanaotaka kujua ni vema wakawa na open minds wasiwe driven na chuki then wataujua ukweli wa mfumo huu wa haki wa kiislam.
 
kutengana kwenye huduma za kibenki inawezekana lakini kutengana kwenye huduma za machinjio ni kuligawa taifa......tanzania ni zaidi ya uijuavyo..mateo quares ulinena vema

mix with yours

Sasa nyinyi hamna mfumo wa masuala ya kifedha malalamiko ya nn?
 
Ujuwe utofauti wa riba na faida,Riba kila ukichelewa kuilipa inajizaa,lakini faida haijizai.kwa mfano umekopa shati,mwenye duka akikuambia bei ya cash ni sh.5000 lkn ya mkopo ni sh.7000,kwa hiyo hata ukichelewa kulipa ni hiyo hiyo sh.7000.Lakini ukikopeshwa kwa riba,haiwi tena 7000,ukichelewa kulipa riba inazidi kupanda.Badala ya elfu saba utakujakuta walipa mara kumi zaidi ya ulichokopa,kila ukichelewa kulipa kulingana na asilimia ya riba.
 
Mimi nitaangaika na huo Ujinga wenu.

"Patheticaco Muhhamadan!"-courtesy of MaxShimba.
Haya mambo yapo dunia nzima,sasa ufahamu wewe unayepingana na Dunia,ndio mjinga,maana wahenga walisema MPIGA NGUMI UKUTA ATAUMIA MKONO WAKE MWENYEWE.Wewe sasa wataka piga ngumi ukuta,utaumia mwenyewe,na kuonekana mjinga.
Yapo mambo ya kiislamu unayatumia hivi sasa bila kujuwa au wajuwa lakini huna njia ya kukwepa kwa vile hakuna mbadala.
 
Ukopaji kwa njia ya riba ni kutiana umaskini.Mfano una nyumba yako unakwenda iweka dhamana benki,ili upate mkopo.Matokeo yake mkopo unashindwa kuurudisha,kutokana na riba.Benki wanakuja kuipiga mnada nyumba yako.Unazidi kuwa maskini,badala ya kujikwamuwa kutoka katika umaskini.
Uislamu ndio mana ukaipiga vita riba,unakopa milioni kumi,baada ya mda unakuwa na deni la milioni hamsini,kutokana na riba kuongezeka.
 
sh.2,000/- ni riba, nadhani ww usichokielewa ni aina za riba, kuna riba za kawaida, na kuna compound interests, etc. Hao jamaa wanatoza riba. Sema tu wao huwa hawanyang'anyi mali za watu ila wateja wao walipa riba
 
ondoa upuuzi wako hapa wa kupandikiza chuki katika jamii ya watanzania, mimi nimesema ukweli halisi kuwa huwezi pata faida kama hakuna cha juu, ambacho kwa lugha ya kibenki inajulikana kwa jina la riba. HALAFU WEWE UNAKUJA HAPA UNAJIFICHA KWENYE KICHAKA CHA CHUKI, CHUKI ZA NININI NINI KWANZA, KAMA WW UNAWACHUKIA WAKIKRISTO AU watu wasio wa dini yako ni wewe sio kila mtu, anawaza kama wewe, kwa taarifa yako my best friends are muslims lakini sio wenye akili ndogo kama yako, umejaa chuki ambazo ziko wazi kabisa. Kuhusu benki hizo unazopigia debe hujui unatoa riba kwa mlango wa nyuma. Vinginevyo mitaji ingepukutika
 
Acheni wivu jamani msaidiweje?wewe kama unapenda riba endelea nayo mpaka uje ufilisiwe mali zako,waachie watu wenye kuichukia riba wajiunge na islamic bank.
 

Mimi siwezi ku-fund JIHAD kisa Riba bora niendelee kulipa tu hiyo riba.
 
Unalipa Riba halafu unaenda kanisani kufanya nini wakati Ukristo umepinga Riba.
Nyie nao wakristo Majina tu nyie hata hamjui kitabu cha Biblia kinasema nini kuhusu riba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…