Benki bora Tanzania

Benki bora Tanzania

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
5,606
Reaction score
7,032

Wadau naomba msaada,; Je ni benki gani nchini inaongoza kwakuwa na huduma bora katika maeneo yafuatayo?

1. Urahisi wa kufungua akaunti (hakuna mashartimengi). Kuna rafiki yangu alienda kufungua akaunti benki moja, moja ya mashartialiyopewa ni kuwasilisha salary slip

2. Utoaji wa mikopo yenye riba nafuu na upatikanaji wake kwa muda mfupi

3. Huduma kwa wateja (customer care).

4. Kiasi cha makato ya kuhudumia akaunti kwa mwezi ( monthly charges)

5. Kiasi cha makato unapotoa fedha; nk


 
Banc ABC, ina branch Kkoo Msimbazi karibu na Diamond Trust bank
 
kazi ipo! jiunge na pride habari iishe, lol!
 
Benki za TZ zote zinafuata same procedure,e.g requirements za kufungua account almost ziko sawa na zote zinatoka BOT
Mikopo huwa na tofauti ndogo sana kwenye interest btwn them banks,especialy ukichukua mikopo midogo
N.B
Ukitaka kuchagua benki may be uangalie vigezo kama Branch & ATM network,
vigezo vya kupewa loan ambavyo benki nyingi wana angalia fixed collateral na chache wanacheki transaction zako kwa kipindi cha mwaka mzima.
 
Back
Top Bottom