Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mfanyakazi wa serikali!Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu...
Hawa jamaa wana sifa gani ? Na atm card yako inaweza tumika kokote kutolea pesa?nami nahitajiMfanyakazi wa serikali!
Nmb watakuwa wamekuboo!(Kenya language) ambao huwa ndiyo kimbilio la wafanyakazi!
Jaribu Exim nasikia wapo vizuri.
Nitakupa jibu baadae ngoja nipitie ofisini kwao.Hawa jamaa wana sifa gani ? Na atm card yako inaweza tumika kokote kutolea pesa?nami nahitaji
Amana Bank.Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu.
Ukiondoa NMB na CRDB. naombeni ushauri katika hili ili leo hii nikafungue account. Kuna watu wa banks flani wamenikwaza sana. Nataka kuhama hizo banks.
Nenda PBZ
Sifa zake zikoje ndugu Mtanzania mwenzanguAmana Bank.
Nenda Equty
Nena Equty
Hapo sielewi tenaHawana tofauti na CRDB na NMB
Kiuhalisia, hakuna benki ambayo kimsingi inampenda mteja. So, ishi na mabenki kwa tahadhari kubwa sana.Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu?
Ukiondoa NMB na CRDB. naombeni ushauri katika hili ili leo hii nikafungue account. Kuna watu wa banks flani wamenikwaza sana. Nataka kuhama hizo banks.
Platinum credit mkopo ndani ya masaa 24Hakuna bank hiyo Tanzania