Sidhani kama zipo maana itabidi
1. Kuhakiki nyaraka uhalali
2. Kuhakiki umiliki jina
3. Kuhakiki eneo kama ni kweli lipo na lina nyumba nk
4. Kufanya tathmini ya thamani
5. Historia ya miamala
6. Biashara unayofanya
7. Mapato yako kwa siku, mwezi
8 . matumizi, baki na faida
9. Kiwango cha mkopo
10. Marejesho
12. Mashahidi no
Hayo mambo popote hayakwepeki
Hii sio benki,Platinum
NakaziaHati bila biashara hupati
NakaziaNini kusudi la wewe kuonba mkopo? Benki hawakopeshi ili wapate nyumba