Benki gani hutoa mikopo kwa ajili ya assets za ujenzi?

bishoke

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2010
Posts
274
Reaction score
52
Wataalamu wa biashara mliomo jamvini naombeni mchango wenu wa mawazo.
Nina tafuta kujua ni benki gani hapa Tanzania inayotoa mkopo kwa ajiri ya kununulia vifaa na mitambo ya ujenzi (movable capital assets) kama motor graders, low loaders, back hoe loaders, excavators, compactors etc.

Ningependelea zaidi benki ambazo zinachukulia mitambo iliyokopwa kama ndiyo dhamana ya mkopo.

Asanteni sana kwa msaada wa mawazo.
 
mmmmhhh sidhani km zipo

Back
Top Bottom