southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
Usianze biashara kwa pesa ya mkopo.Habari wakuu, mimi nina idea na biashara lakini nimeshindwa kabisa kuanza kwasababu ya kiuchumi.
Naomba kuuliza ni bank ipi inatoa mikopo kwa watu aina kama yangu au kama kuna mdau wa JF ataweza kunisaidia niweze kujikwamua.
Idea nimeifanyia utafiti wa kutisha na kujiridhisha lakini sina pesa ya kutosha kuanzisha.
Zaid ya zile za kislamu hakuna tena wenyewe wanakununulia products na syo kupewa pesaHabari wakuu, mimi nina idea na biashara lakini nimeshindwa kabisa kuanza kwasababu ya kiuchumi.
Naomba kuuliza ni bank ipi inatoa mikopo kwa watu aina kama yangu au kama kuna mdau wa JF ataweza kunisaidia niweze kujikwamua.
Idea nimeifanyia utafiti wa kutisha na kujiridhisha lakini sina pesa ya kutosha kuanzisha.
za kiislam ndio zipi hizo mkuuZaid ya zile za kislamu hakuna tena wenyewe wanakununulia products na syo kupewa pesa
Hawa wengine wanataka biashara ambayo ipo kwenye mzunguko