Kwa wenye uzoefu na mambo ya mikopo kwenye mabenki yetu yanayofanya kazi zake hapa Tanzania naombeni mnijuze uzoefu wenu.
- Ni benki gani zinatoa mikopo based on LPO. (NOTE: collateral ipo ila nahitaji LPO loans only because of nature of my business)
- Kuna benki zinaurasimu sana, wanapenda wapewe 10%, ni vyema nikazijua mapema, nikajua jinsi ya kuwa-avoid au nikaachana kabisa na benki za hivyo.
- Conditions za kupewa LPO loans kwa benki tofauti zipo vipi?
- Nature ya kazi nazofanya ni za ukandalasi(Contractor)
Your contribution will be appreciated.