Benki gani ipo faster kutuma TT Japan?

Benki gani ipo faster kutuma TT Japan?

clasi

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2013
Posts
379
Reaction score
716
Wakuu Ni benki gani nchini ambayo naweza kutuma TT Japan ili ninunue gari huko? SI mnajua Tena Mambo ya OFFER unapewa muda maalumu uwe umeshalipia.
 
I can't wait to ride my 2007 Jeep Grand Cherokee.
Huyo mnyama ni mkali sana...4.0CC ? Mimi nazipenda za kuanzia 2011 aisee hio nyeusi nadhani ndo model yako mzee
Screenshot_20201002-203704_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20201002-203644_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20201002-203632_Samsung Internet.jpg
 
Huyo mnyama ni mkali sana...4.0CC ? Mimi nazipenda za kuanzia 2011 aisee hio nyeusi nadhani ndo model yako mzee
Yap Mkuu. Nilipanga Kama kununua Ni February 2021 Sasa majuzi nimeingia mtandaoni naona discount kubwa 6,000USD (CIF) wakati mwanzoni ilikuwa 8,900USD (CIF) nikavimba nao wakashusha mpaka 5,400USD (CIF) nikailipia fasta.
 
Bila shaka hawa watakua ni beforward hapo TRA wanakusubiria kwa CIF ya 4452+ 12m ushuru...kwa CIF yako ya 5400 itazidi kidogo
 
Bila shaka hawa watakua ni beforward hapo TRA wanakusubiria kwa CIF ya 4452+ 12m ushuru...kwa CIF yako ya 5400 itazidi kidogo
Nilicheki kwenye calculator Yao watanichanja za kutosha ila nimejizatiti kwa back-up ya Sakos
 
Back
Top Bottom