teresa emanuel
Member
- Dec 19, 2016
- 79
- 48
ukiwa nchi gani? inategemea na ulipo
Habari wanajamii,
Mimi ningependwa kujuzwa sijui ni bank gani ambayo ninaweza kuweka pesa nikiwa nje ya nchi zikaingia moja kwa moja kwenye account yangu Tanzania mwenye ujuzi wapendwa naomba tushee ujuzi.
Wakuu asanteni
Mkuu, kama uko India nadhani Bank of India, BAnk of Baroda na I & M Bank zitakufaa zaidi. Gharama za kutuma kuja kwenye account yako ni nafuu zaidi. Kikubwa fungua account kabisa kabla hujaondoka, the rest is history!!Habari wanajamii,