zaratustra
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 848
- 225
sasa nyinyi mnahangaika ni nn shida? Mm naona kibubu, au kama pesa zako zinzweza kujaa chumba, chimba nyumba weka. Maana hapo hakuna mlolongo wowote wala makaratasi, huko kote lazima upange foleni na magumashi kibao.
Ndugu zangu i wish kama wote mngekuwa na Akaunti Commercial Bank Of Africa (CBA) muone utofauti. hiyo stress free Banking unayosikia ni ya ukweli kinoma. nawakubali sana hawa jamaa. wamejipanga.
NMB mkuu
nbc
1. Kwanza ina mtandao mkubwa wa atm kuliko zote- tembelea miji yote mikubwa na midogo utathibitisha
2. Ina mtandao mkubwa wa matawi nchi nzima- sio benki hizi za dar, mwanza na arusha tu achana nazo
3. Ina debit master card (atm card) inayoingia atm yoyote duniani iliyo na mastercard
4. Mastercard yake inatumika kufanya malipo kwenya maduka, supermarkets n.k
5. Ni global bank ina link na benki kubwa za sauz na uk- so international transaction ni kama kutoa fedha mfuko wa kulia na kuziweka mfuko wa kushoto
6. Baadae nitakutajia faida nyingine nyingi za kubenki na nbc
NMB - Benki ya Makabwera
Si sahihi sana. Ni miji midogo michache yenye nbc, si yote. Na si kweli kuwa ina matawi nchi nzima, llabda kwako kama nchi inaishia ngazi ya mkoa.nbc
1. Kwanza ina mtandao mkubwa wa atm kuliko zote- tembelea miji yote mikubwa na midogo utathibitisha
2. Ina mtandao mkubwa wa matawi nchi nzima
Ndugu zangu i wish kama wote mngekuwa na Akaunti Commercial Bank Of Africa (CBA) muone utofauti. hiyo stress free Banking unayosikia ni ya ukweli kinoma. nawakubali sana hawa jamaa. wamejipanga.
Hahahaaa........wenzio wlaishatoka na hakuna kujizika wala kaburi
Wamepanga kivipi? vipi riba kwenye mikopo? wana lipi ambalo benki zingine hazina?
Barclays.......unakopa halafu hulipi...