Benki gani ni rahisi kufungua account

Benki gani ni rahisi kufungua account

danali

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
1,135
Reaction score
1,674
wakuu na wazoefu nombeni mnijuze nataka kufungua acount.
ni bank gani hawana usumbufu na huduma zao ni bora kwa kufanya manunuzi ya online
 
Bank zote zina masharti karibu sawa ya kufungua kwani ni maelekezo ya BoT, ila upande wa huduma bank zinatofautiana. Kwa maoni yangu, bank ambayo huduma zake zina ubora angalau kuzidi nyingi ni CRDB!!
 
Stanbic Bank mambo yote huko kwengine utahangaika tu na wanakupa Visa Card kabisa sio longolongo zingine
 
Greenland bank

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu, masharti ya benki nyingi ni karibia yanafanana, hii ni kutokana na ukweli kwamba benki kuu ndio wanasimamia uendeshaji wa hizi benki zote.

Kuhusu urahisi wa kufungua account kuna vigezo vingi kutikana na aina ya akaunti unayoitaka, kwa mfao:-

Akaunti yako ni ya kampuni au ya mtu binafsi, ni ya fedha za kigeni au za kitanzania, unataka upitishie mshahara au ni kwa ajili tu ya kuhifadhi hela zako? Kila aina ya hizo akaunti ina masharti yake.

Urahisi wa kufungua akaunti utategemea sana aina ya akaunti na wewe unataka kutumia huduma za kibenki kwa lengo gani?
 
Sjui kuhusu urahisi wa kufungua account,ila kwenye mambo ya online embu jaribu kucheki FNB,nahisi wako vizuri kwenye online banking.
 
wakuu na wazoefu nombeni mnijuze nataka kufungua acount.
ni bank gani hawana usumbufu na huduma zao ni bora kwa kufanya manunuzi ya online

Masharti ya deci yalikuwa nafuu sana ndio maana wengi walitapeliwa kirahisi na kukosa pakwenda kujitetea!
 
Benki zote siku hizi zinahitaji mashahidi au barua za utambulisho kutoka kwa mwajiri au serikali za mitaa,pia zinazidiana kwa kiwango cha kufungulia akaunti , viwago vinatofauti kwa benki moja kutokana na akaunti unayofungua, kuna Equity bank, huko Kenya wanaita benki ya mama mboga inasaidia sana watu wa kupato kidogo, hebu soma kijarida chao hapa
bank.JPG
 
Back
Top Bottom