Benki gani nzuri kubadili Dola kwenda Shilingi?

Benki gani nzuri kubadili Dola kwenda Shilingi?

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,646
Reaction score
5,606
Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza ni bank gani nzuri naweza kubadili dollar 500 kuileta hela yetu ya kibongo, ile ya kubadilisha iwe 2400 na sio 2300.
 
Kama upo Dar, pita Samora ukaangalie kwenye maduka ya kubadirisha fedha. Benki wapo chini sana.

By the way, hiyo dola 500, ni mia mia au zipoje?
 
Back
Top Bottom