Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Jul 19, 2022 #1 Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza ni bank gani nzuri naweza kubadili dollar 500 kuileta hela yetu ya kibongo, ile ya kubadilisha iwe 2400 na sio 2300.
Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza ni bank gani nzuri naweza kubadili dollar 500 kuileta hela yetu ya kibongo, ile ya kubadilisha iwe 2400 na sio 2300.
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Jul 19, 2022 #2 Sijui Ni bank gani ila Utapata 1,166,000
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jul 19, 2022 #3 Kama upo Dar, pita Samora ukaangalie kwenye maduka ya kubadirisha fedha. Benki wapo chini sana. By the way, hiyo dola 500, ni mia mia au zipoje?
Kama upo Dar, pita Samora ukaangalie kwenye maduka ya kubadirisha fedha. Benki wapo chini sana. By the way, hiyo dola 500, ni mia mia au zipoje?
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,743 Reaction score 25,564 Jul 19, 2022 #4 Ngalikihinja said: Kama upo Dar, pita Samora ukaangalie kwenye maduka ya kubadirisha fedha. Benki wapo chini sana. By the way, hiyo dola 500, ni mia mia au zipoje? Click to expand... Boss upo[emoji16]
Ngalikihinja said: Kama upo Dar, pita Samora ukaangalie kwenye maduka ya kubadirisha fedha. Benki wapo chini sana. By the way, hiyo dola 500, ni mia mia au zipoje? Click to expand... Boss upo[emoji16]
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jul 19, 2022 #5 Kanungila Karim said: Boss upo[emoji16] Click to expand... Nipo kaka mkubwa mzee wa TTCL😁