Online Brigade
Member
- Jun 26, 2012
- 39
- 10
nenda CBA wana huduma nzuri hawaringi na hakuna uswahili kama crdb na kwengineko
mkubwa Barclays na hiyo ya kwako haipobarcleys!
Equity Bank ndo mpango mzima wana masharti nafuu ya mikopo, mikopo unapewa on time hamna zile za kubembeleza Maloan officer ka NMB na CRDB, unaweza usiwe na collateral write up yako ikakusaidia, ka una biashara watakupa mkopo na utafundwa au to improve your business, ka ni MFANYAKAZI na net salary yako ni Kuanzia 500,000 unaweza pata hadi 10 million, afu wanafunga saa 11 jioni customer care Yao ni Nzuri kiukweli
Crdb kuna uswahili gani? napenda kufaham..maana nilitaka kwenda huko.