ili ujue the best bank ya kufungua the saving a/c lazma ufany upelelez kwamba kama unafungua saving a/c ujue uta save na je vip kuhusu interest rate utakayokatwa na utakayo receive......unaona eeee.....sasa kuna bank wanakuwa na makato madogo na nyingine makubwa.! sasa acha uvivu tembelea bank kapeleleze then utakapoona pako poa hapo hapo fungua