Kila kukicha Tanzania kunaanzishwa benki mpya na mengi ya haya mabenki yanajinadi kuwa wanatoa mikopo. Naamini ni muhimu kufanya hesabu kuona kama kweli masharti yao haswa riba na dhamani ni nzuri kama inavyoelezwa.
Kama yuko mwanajf aliyejaribu kufanya kautafiti kuona ni benki ipi nzuri kwenye eneo hili la mikopo?
Naangazia mikopo ya aina mbili:
· Ile ya kibiashara(kati ya 5m/= na 30m/=)
· Ile ya wafanyakazi (bila dhamana ya mwajiri)
Nawasilisha ombi