S Sela Son JF-Expert Member Joined Dec 31, 2018 Posts 3,120 Reaction score 7,317 Mar 1, 2025 #21 Kuna hiyo Moja baba nimeelekezwa juzi ukiweka m3 unapata m 8 baada ya siku45 ..na anaenielekeza ashapiga Hela ndefu ila nahisi oneday ataliwa kichwa coz Ile anayoipata ka faida anaiunga juu Kwa juu
Kuna hiyo Moja baba nimeelekezwa juzi ukiweka m3 unapata m 8 baada ya siku45 ..na anaenielekeza ashapiga Hela ndefu ila nahisi oneday ataliwa kichwa coz Ile anayoipata ka faida anaiunga juu Kwa juu