BENKI KUU TANZANIA ..Mpo?

BENKI KUU TANZANIA ..Mpo?

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Binafsi nahisi tozo katika Benki zetu hapa ndani zimekuwa nyingi na nyingine ghali kiasi kuwa inakatisha tamaa kuweka hela huko
Mfano WA tozo;

Kuangalia salio
Kutoa hela dirishani at kwenye ETM
Kuhamisha hela hata ndani ya mtandao
Kuhamisha hela ndani ya mtandao mtu mwenyewe (online banking)
Malipo ya kila mwezi
Kupata statement pale mteja anapohitaji
Kubadilisha kard kila muda usio mrefu sana kwa shs 7000?
Mikopo ndio Balaa hapa nyumbani nafikiri Mikopo WA chini sana ni interest ya 18% hadi 25%

Kwa mawazo yangu Kama wanaruhusiwa kupata Faida kubwa kiasi hicho kwenye mikopo kunahaja gani ya kuruhusiwa kuweka hizo tozo ndogondogo hapo juu? Mimi naona nikuwanyonya wananchi wazi wazi...
Ushauri wangu, hiyo interest ya Mikopo ishuke hadi 14% hivi au is ishuke ila wafute hizo tozo za kukwaza tofauti na hapo Mimi naona Mabenki yatazidi kuneemeka huku wananchi wengi (wajasiriamali) wakizidi kuwa Maskini

Nawakilisha!!!
 
Back
Top Bottom