Mr pesapesa
Member
- Oct 9, 2017
- 12
- 21
Ulimanisha Hapo Maelezo hayo hapo juu?Wanasema
Asante yesUlimanisha Hapo Maelezo hayo hapo juu?
Yote haya yako kinyume kabisa na forex!! Ila yanafanana sana D9,forever living na mengine kama hayo...How to know if an investment maybe a Ponzi or Pyramid Scheme

The scheme guarantees you high returns with little risk of losing investment.

It promises you consistent returns regardless of the market conditions.

The investment strategy or business activities are too complex for investors to understand, or top secret.

The company or proprietor running the scheme focuses all their energy into attracting new clients to make investments.

Both old and new clients face difficulty trying to remove their money from the scheme
Kwan mkuu inahusu FOREX?Kazi mnayo yaani kila siku ni Mapigano na Mapigano kwa ajili ya kuirudisha nyuma Forex, hatakama hapo juu hamko wazi lakini inafahamika tu.
Jambo la msingi mmejua kuwa mlikuwa mnafanya Biashara hii ndani ya majumba yenu na watoto wenu mlifikiri kuwa haito fahamika? Muda sasa ushafiki kwa yaliyojificha kuwa dhahiri ili wote tufaidi matunda haya.
Cha ajabu mnatumia nguvu nyingi kushane out watu lakini Soko la Forex litakuwepo na litaendelea kuwepo hata kama Watanzania wote tutashiriki endeleeni na kazi za kuipiga vita mwisho wenu hautokuwa mzuri maana mwisho wa ubaya ni aibu.
Leo ni siku ya pili darasa linaendelea Mwanza na wiki ijao darasa ni Arusha karibuni kupata mafunzo toka TMT.
The Million Team for no reason!!
Haahahahah haki ya Mungu umenichekeshaa,na kweli hawa jamaa wa Forex wanajishuku kama vile wanakunya njeWatu wa FOREX wamekua kama wafuasi wa SABATO MASALIA [emoji23][emoji23] wanahisi wanasemwa wao tu maana wamekuja mbio utadhani wametajwa duh aya mambo siku ukichoma hadi sarafu za kula watoto ndio utaelewa.
Yaani kila post lazima waje kukanusha. Madhara ya kushikiwa akili na mtu mmoja. kwa sasa hizo sio akili zaoWatu wa FOREX wamekua kama wafuasi wa SABATO MASALIA [emoji23][emoji23] wanahisi wanasemwa wao tu maana wamekuja mbio utadhani wametajwa duh aya mambo siku ukichoma hadi sarafu za kula watoto ndio utaelewa.
ni rahisi sana kumshawishi mtu anayefanya forex kuachana na mkewe ila si forex ..fanya yako acha watu na mabo yao maana yako hawayaingilii..Yaani kila post lazima waje kukanusha. Madhara ya kushikiwa akili na mtu mmoja. kwa sasa hizo sio akili zao
[emoji109]Ben TKazi mnayo yaani kila siku ni Mapigano na Mapigano kwa ajili ya kuirudisha nyuma Forex, hatakama hapo juu hamko wazi lakini inafahamika tu.