mdaharunga
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 413
- 401
Wewe sio kilaza? Tuambia hadi leo hii na akili yako usha tatua changamoto zipi za jamiiForex not for everyone
Forex si lelemama
Forex u must read a lot of books
Forex sio kwa vilaza
Forex not easy money you must be really good in speculation.
Usifananishe forex na vitu vya ajabu.!
Juhudi zako tunaziona, na ndiyo maana tunatamka haya, haiyumkini kila mtu ana akili yake anajua baya na zuri hapo shida iko wapi?Kwan mkuu inahusu FOREX?
Hahaaa angeanzisha anaye washikia akuli vipi? Shida ni pale unapo kuwa umeenda shule ila akili zako zinajuwa controled na mtu mwingine. Mimi sujaenda shule ila sijawahi tumia akili za wengine kuwaza.Juhudi zako tunaziona, na ndiyo maana tunatamka haya, haiyumkini kila mtu ana akili yake anajua baya na zuri hapo shida iko wapi?
Changizo zako zote pamoja na threads unazozianzisha na kuchangia mrengo wako tunaufahamu tu Mkuu.
Na hii thread haina kichwa wala miguu imekaa ki ushakunaku tu!
Hahaaa angeanzisha anaye washikia akuli vipi? Shida ni pale unapo kuwa umeenda shule ila akili zako zinajuwa controled na mtu mwingine. Mimi sujaenda shule ila sijawahi tumia akili za wengine kuwaza.
Unataja mawazo yako gawe yangu au kwa sababu mawazo ya mtu mwingine ni mawazo yako pia unataka iwe hivyo pote
I don't fck psycho bitches....Wewe sio kilaza? Tuambia hadi leo hii na akili yako usha tatua changamoto zipi za jamii