maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Huenda wanasubiri hali ifikie km Spain, Italy au America. Wanasikilizia
Sent using Jamii Forums mobile app
baada ya wiki mbili nitkukumbusha hii kauliNao wana mambo yakufanyia hizo pesa...
Corona siyo kisingizo cha wao wasikudai au wewe usirejeshe ulichokopeshwa...
Cc: mahondaw
Nao wana mambo yakufanyia hizo pesa...
Corona siyo kisingizo cha wao wasikudai au wewe usirejeshe ulichokopeshwa...
Cc: mahondaw
Kama unamkopo benki na unahisi biashara yako imeshuka kutokana na korona ,basi waandikie barua ukielezea hali ilivyokuathiri. Benki haiwezi acha kudai kama hujaomba n Apia inafuata mkataba mlioingia mwanzo
Wizara ya fedha njooni mtupe majibu. Tumechoka na hizi simu za marejesho kila saaorona ime-threat biashara nyingi mno, watu wanakwepa kutoka na kuna biashara zimeyumba mno! Niliamini Waziri husika angalau angeshawishi mabenki yasidai madeni hadi hali itakapotengemaa, hata kodi ya vitu vilivyopo bandarini ingepunguzwa ikiwemo na kodi za TRA.
ni kweli unachosema lakini na wao pia niwanadamu na hali wanaiona. wapunguze chargesmabenki wameajiri wafanyakazi wanalipwa mshahara, walinzi, umeme, kodi, na matumizi mengine, wasidai madeni wafanyakaz wao watalipwa mshahara kutoka wapi?