Benki nchini China na Tanzania

Benki nchini China na Tanzania

PingPong

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2008
Posts
926
Reaction score
160
Wakuu habari zenu, naomba kuuliza kwa yeyote anaefahamu benki ambayo mtu anaweza kufanya transactions zote including kuweka na kutoa pesa akiwa Tanzania na pia hata akiwa China.
 
OK, kuna nyingine ukiacha hiyo CRDB?
 
Back
Top Bottom