Cicero JF-Expert Member Joined Jan 20, 2016 Posts 2,924 Reaction score 3,074 Oct 16, 2016 #1 Habari zenu wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza naombeni ushauri nataka kufungua account ya US Dollars sijui ni benki ipi yenye masharti nafuu. Natanguliza SHUKRAN!
Habari zenu wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza naombeni ushauri nataka kufungua account ya US Dollars sijui ni benki ipi yenye masharti nafuu. Natanguliza SHUKRAN!