Napenda nianze kufanya manunuzi mitandaoni lakini NMB wamenikwamisha. Mimi ni mteja wa NMB lakini kadi zao za mastercard, hazina hiyo functionality naweza kusema. Nishajaza form yao wiki iliyopita ya kuniwezesha kununua mtandaoni (achana na form ya kulata Mastercard) lakini nikienda kujaribu kufanya payments inanigomea KABISA, sio Ebay, Amazon wala Alibaba.
By the way CVV namba inayokaa nyumba ya kadi zao nayo siielewi imeandikwa kama inataka kufutika yani.
Sasa najua humu kuna watu wana fanya online payments, naombeni mnishauri mnatumia benki gani?
Kuna rafiki yangu hapa mtaani alinishauri kuhusu Equity, lakini naskia Equity wana tatizo la refund, wanachelewesha sana.
CRDB siitaki, MAKATO YAO YANATISHA SANA, Nilikuwa kuwa mteja wao nikawahama.
Natanguliza shukrani.