Wakati mwingine ukinyamaza utaonekana mwenye hekima!Mtu haufungui akaunti ya paypal kwa kutumia bank. Unachotakiwa kufanya ili utumie paypal kununua bidhaa online, ni kwenda website ya paypal unajirejista. Wao watakupa bank account yao ya marekani ambapo utadeposit hela huko. Baada ya siku mbili ukifungua account yako ya paypal utaona balance yako ishawekwa. Unaanza kununua bidhaa online. Hakuna haja ya kulipa monthly fees kwenye bank yoyote. Mtu kama hujui haya mambo acha kudanganya wenzako.
Wakati mwingine ukinyamaza utaonekana mwenye hekima!
https://www.paypal.com/cgi-bin/webscr?cmd=xpt/Help/general/TopQuestion2-outside
Hiyo card unaipata wapi? Bank au kwa Mama Lishe? :banplease:
Hahahaa! Dah!Jamani, kama mtu hujawahi tumia hizi huduma, na huzijui, usichangie! Mimi nina account ya paypal na ninanunua vitu online. ?
Kufungua Paypal account haihitaji card lakini bila kuiunganisha na card yako ambayo inakudai uwe na benki inkuwa ni useless dumy account unless iwe ya kuombea misaada!Wakati nafungua account yangu, sikuhitajika kuwa na debit or credit card. Hapo anapoongelea mambo ya cards, anamaanisha kwamba kama ulishakuwa na cards za debt au credit hata kabla hujawa na acount ya paypal, ?
Hahaha! ona kwenye hizo rangi nyekundu halafu useme unapiga kelele za nini?inakurahisishia maana utatumia card yako straight ku top up ur paypal account itakayosaidia wewe kuwa na kiasi kidogo kwenye paypal account huku kiasi kikubwa kimebaki kwenye card yako, so unakuwa safe kwa wezi wanaoiba bank card details. HAUHITAJI BANK ACCOUNT KUTUMIA PAYPAL! Umeelewa au niongeze maelezo?
Hahahaa! Dah!
Hebu tueleze ulinunuaje vitu online kwa akaunti ya paypal bila kuwa na akaunti ya benki?
Kufungua Paypal account haihitaji card lakini bila kuiunganisha na card yako ambayo inakudai uwe na benki inkuwa ni useless dumy account unless iwe ya kuombea misaada!
Hahaha! ona kwenye hizo rangi nyekundu halafu useme unapiga kelele za nini?
Paypal bila bank account ni upuuzi unless uwe unatumia kuomba misaada, period!
Wewe unaongea kisiasa zaidi.
Ok kama ni ushindi tu chukua, ila utuambie lengo la kufungua Paypal akaunti lilikuwa nini kama mwisho wa siku hauhitaji kuwa na bank akaunti?Sasa mwenyewe unakubaliana kwamba hauhitaji bank account wala card kufungua account ya paypal, sasa unaendeleza ubishi wa nini??
Check hapo kwenye red ulienda bank kufanya nini na umesema hauhitaji bank?Mimi nilifungua account yangu nikiwa hata kadi ya bank sina. Waliponipa bank account yao nikaenda bank nikatuma hela ndo baadae nikafungua account. Kitu gani hakieleweki hapo?
Mambo ya ku link card na paypal, ni IWAPO UNATAKA KU TOP UP UR ACCOUNT KWA KUTUMIA CARD TUU!
Ni kitu gani kinakufanya uwe mbishi wakati hujui haya mambo?
Hata mimi sijui lol!Ni kitu gani kinakufanya uwe mbishi wakati hujui haya mambo?
Ok kama ni ushindi tu chukua, ila utuambie lengo la kufungua Paypal akaunti lilikuwa nini kama mwisho wa siku hauhitaji kuwa na bank akaunti?
Check hapo kwenye red ulienda bank kufanya nini na umesema hauhitaji bank?
Ultimately you will need a bank account somehow.
That is the bottom line, period!
Hata mimi sijui lol!
Mjinga kweli mimi, yaani vitu sivijui bado najifanya nimo...!
Hilarious π
Kwa hiyo unachokwepa ni **personal** bank account?No hauhitaji bank. Unaweza tumia hata western union kuwatumia hela.
Kwa hiyo unachokwepa ni **personal** bank account?
Ultimately you need a bank account regardless of a form!
Not necessarily **your** account, it might be wife's, friend's, western's.
Whatever form it takes, you need it!
We jamaa hujamwelewa Changman anachomaanisha, umekalia ubishi tu usiyo na maana. Nilidhani umeuliza swali ili uelimishwe kumbe we ndio unajua zaidi!!! Sasa uliuliza au kuomba msaada ili iweje? Kuna watu waajabu sana lolKwa hiyo unachokwepa ni **personal** bank account?Ultimately you need a bank account regardless of a form!Not necessarily **your** account, it might be wife's, friend's, western's.Whatever form it takes, you need it!